Our Experience

Experience

Raymond Bunyinyiga
Tanzania

As a young growing Banker/consultant after joining MCI+ Group my experience as has been very positive and strength building, with just four month learning (Webinars) has been marvelous from financial view  to client management and ways of selling, but again how other members through their contributions and experience has been vital for me to work hard to meet and plan even my personal goals.

The leadership, arrangements, explaination (Straight forward), and management as a whole, has been pushing far to success and am luck to be among the team.

Swahili

Kama Mfanyabiashara/Mshauri wa Biashara ninayekua, baada ya kujiunga na MCI+ Group, uzoefu wangu umekuwa mzuri sana na wenye matokeo chanya, kwa kujiunga ndani ya miezi minne tu mafunzo mbalimbali (Webinars) yamekuwa ya mafanikioa kuanzia mtazamo wa fedha  hadi usimamizi wa mteja na njia za kuuza, lakini tena jinsi wanachama  wengine kupitia michango na uzoefu wao umekuwa muhimu kwangu kufanya kazi kwa bidii ili kufikia na kupanga hata malengo yangu binafsi. Uongozi, mipangilio, maelezo (Moja kwa moja), na usimamizi kwa ujumla, umekuwa ukinisukuma zaidi kufikia mafanikio hata binafsi na nina bahati kuwa miongoni mwa familia hii.

IMCI+ Group members list